top of page

COMING

SOON

KINACHOWADIA

Mambo makuu yanakuja!

Wakati tovuti yetu ikiwa kwenye maboresho, tupo katika hatua za mwisho za kuandaa mfululizo wa vitabu vyetu vya "Kujenga Makanisa Yenye Afya Njema"Huu ni mradi wa vitabu 17, na tunafanya kazi kwa bidii kuhakikisha kuwa tafsiri hizi ni amini na rahisi kueleweka kwa kila msomaji.Pamoja na maudhui, tunaboresha muonekano
ili uwe wa kuvutia machoni pa msomaji.

Tunawaomba mtuombee katika hatua hii ya mwisho. Kama ungependa kuwa miongoni mwa watu wa kwanza kupata taarifa tutakaporejea na habari kuhusu vitabu hivi, tafadhali jaza fomu ya mawasiliano hapa chini.

JIUNGE KWENYE ORODHA

Jiandikishe ili uwe wa kwanza kupata taarifa tutakaporudi.

Asante kwa Kujiunga!

  • Facebook
  • Instagram
100Fold Logo

NJIA ZA KUTUFUATILIA

  • Youtube
  • WhatsApp
  • Email
  • Facebook
  • Instagram
bottom of page