top of page
12 min read
Kwa nini Yesu alizaliwa Myahudi?
Yesu alizaliwa Myahudi ili kuondoa majivuno yote katika ukuu wa kikabila. Na kutengeneza utaifa mmoja mpya, wenye furaha, na kupenda rehema.
10 min read
Lengo Kuu: Ndoa Inayoishi kwa Utukufu wa Mungu
"Kumjua na kumfurahia Mungu kuliko vitu vyote, ikiwa ni pamoja na mwenzi wako, ndio ufunguo wa kuishi ndoa kwa utukufu wa Mungu."
3 min read
Huzuni Zote Zinazomtukuza Mungu Zinatokana na Furaha Ya Kumtukuza Mungu
Machozi ya kweli ya toba ya kweli kwa ajili ya dhambi hutiririka kutokana na kuupenda utakatifu, na si kwa kuogopa matokeo ya kutokuwa nao.
4 min read
Krismasi Ni Siri Kubwa Kuliko Zote
"Bila kuacha namna yoyote ya kuwa Mungu, aliyachukua yote yanayomaanisha kuwa mwanadamu."
#umwilisho #kufanyika-mwili
6 min read
Wakalvini Wanapaswa Kuwa Watulivu na Wema Zaidi Kuliko Wote
“Theolojia yenye kunyenyekesha ya Ukalvini inadhoofishwa na maneno yenye uchungu, hasira, na dharau."
4 min read
Ipande Milima ya Mafumbo ya Mungu
Paulo anasema kwamba Mungu hutukuzwa tunapomwabudu kwa furaha kwa sababu ya yale tunayoyajua kumhusu, si kwa sababu ya yale ambayo hatujui.
4 min read
Vitabu Haviwabadili Watu, Ni Aya Zinazofanya Hivyo
Sentensi moja inaweza kuwa na athari kubwa akilini mwetu hata baada ya mambo mengine kusahauliwa.
5 min read
Usiibadhiri Saratani Yako
"Lengo la Mungu katika saratani yetu ni kuvigonga vile tunavyojitegemeza kutoka chini ya mioyo yetu ili tumtegemee yeye pekee."
3 min read
Jipange Sasa Kufa Vizuri
Wengi wetu, tunapokaribia kufa, tutakuwa hafifu kifikra na kimwili hivyo hatutaweza kuandaa mipango.
Jipange sasa hivi.
3 min read
Wito kwa Wakristo Kuhatarisha Maisha Yao
Wakati tishio la kifo linapogeuka kuwa mlango wa kuingia peponi, kizuizi cha mwisho cha hatari ya muda kinavunjwa.
7 min read
Dhambi Haitokufurahisha Kamwe
“Nguvu ya majaribu yote ni matarajio kwamba yatakufanya uwe na furaha zaidi. Lakini dhambi haitokufanya uwe na furaha kamwe.”
bottom of page