top of page
2 min read
Jinsi ya Kumtumikia Bosi Mbaya
"Paulo anasema kazi zetu zote zinapaswa kufanywa kama kazi kwa ajili ya Kristo, sio kwa msimamizi wa kibinadamu."
2 min read
Dawa ya Kiburi
"Kiburi hakiwezi kustahimili ushirika wa karibu wa Mungu katika kuendesha ulimwengu na maisha ya kila siku."
1 min read
Imani ya Kweli Ina shauku ya Kuja kwa Kristo
"Kumtarajia Kristo kwa shauku ni ishara tu kwamba tunampenda na kumwamini — tunamwamini kweli kweli."
2 min read
Maneno ya Upepo
"Kurejesha nafsi, sio kukemea kidonda, ni lengo la upendo wetu"
2 min read
Uhuru wa Neema
"Tendo gani lingekuwa la upande mmoja zaidi, na lisilohitaji maelewano kuliko mtu mmoja kumfufua mwingine kutoka kwa wafu! Hii ndio neema!"
2 min read
Dirisha la Moyo
"Akili ni dirisha la moyo. Tukiacha akili zetu zidumu kwenye giza, moyo utahisi giza. Tukifungua akili zetu kwa nuru, moyo utahisi mwanga"
2 min read
Amri Inayotengeneza
"Njia ya kutii amri ya kuzaliwa ni kupata zawadi ya uhai na pumzi, kisha kumlilia Mungu kwa imani, shukrani, na upendo."
2 min read
Jinsi Waumini Watakavyo hukumiwa
"Mapungufu na makosa ya waumini yataonekana Siku ya Hukumu, lakini dhambi hizi zitaonyeshwa kama dhambi zilizosamehewa"
2 min read
Ufunguo wa Uzoefu
"Uhuru kutoka katika tamaa hutoka kwenye imani ya kuridhisha sana katika neema ya Mungu ya wakati ujao."
2 min read
Shauku kwa ajili ya Mungu na UKweli
"Kutojali ukweli ni kutojali kuhusu Mungu. Kumpenda Mungu kwashauku ni kupenda ukweli kwa shauku kubwa."
2 min read
Muda Kidogo Tu
"Mungu ni "Mungu wa neema yote," akijumuisha hazina isiyo na kikomo ya neema ya wakati ujao tunayoihitaji kuvumilia hadi mwisho."
2 min read
Pata Usichoweza Kupoteza
"Yeye sio mpumbavu ambaye hutoa asichoweza kuhifadhi ili kupata kile ambacho hawezi kupoteza."
bottom of page