top of page
4 min read
Ipande Milima ya Mafumbo ya Mungu
Paulo anasema kwamba Mungu hutukuzwa tunapomwabudu kwa furaha kwa sababu ya yale tunayoyajua kumhusu, si kwa sababu ya yale ambayo hatujui.
4 min read
Vitabu Haviwabadili Watu, Ni Aya Zinazofanya Hivyo
Sentensi moja inaweza kuwa na athari kubwa akilini mwetu hata baada ya mambo mengine kusahauliwa.
5 min read
Usiibadhiri Saratani Yako
"Lengo la Mungu katika saratani yetu ni kuvigonga vile tunavyojitegemeza kutoka chini ya mioyo yetu ili tumtegemee yeye pekee."
3 min read
Jipange Sasa Kufa Vizuri
Wengi wetu, tunapokaribia kufa, tutakuwa hafifu kifikra na kimwili hivyo hatutaweza kuandaa mipango.
Jipange sasa hivi.
3 min read
Wito kwa Wakristo Kuhatarisha Maisha Yao
Wakati tishio la kifo linapogeuka kuwa mlango wa kuingia peponi, kizuizi cha mwisho cha hatari ya muda kinavunjwa.
7 min read
Dhambi Haitokufurahisha Kamwe
“Nguvu ya majaribu yote ni matarajio kwamba yatakufanya uwe na furaha zaidi. Lakini dhambi haitokufanya uwe na furaha kamwe.”
bottom of page