Nyumbani
Somo la Leo
Makala
Kuhusu
Wasiliana Nasi
Nunua
More
"Neema ni tabia ya Mungu kututendea mema tusiyostahili na nguvu kutoka kwake inayotenda mema ndani yetu na kwa ajili yetu."
“Kristo, leo nimefanya dhambi. Lakini naichukia dhambi yangu. Kwa maana umeandika sheria moyoni mwangu, na ninatamani kuifanya."
“Neema yangu yakutosha; maana uweza wangu hukamilishwa katika udhaifu.”
"Mapungufu na makosa ya waumini yataonekana Siku ya Hukumu, lakini dhambi hizi zitaonyeshwa kama dhambi zilizosamehewa"
"Njia ya kutii amri ya kuzaliwa ni kupata zawadi ya uhai na pumzi, kisha kumlilia Mungu kwa imani, shukrani, na upendo."
"Kurejesha nafsi, sio kukemea kidonda, ni lengo la upendo wetu"
"Paulo anasema kazi zetu zote zinapaswa kufanywa kama kazi kwa ajili ya Kristo, sio kwa msimamizi wa kibinadamu."
"Yesu anajaza ulimwengu kwa utawala wake tukufu kupitia sisi."
"Mungu huwaokoa watu wake kutokana na madhara fulani, sio yote. Hii inafariji kwani vinginevyo tunaweza kudhani ametusahau au ametukataa."
"Hisia mbaya zisizoeleweka kwamba wewe ni mtu mbaya si sawa na kuhukumiwa kwa dhambi. Kuhisi kuoza sio toba."
"Mateso haya ya muda mfupi yanatuandalia uzito wa milele wa utukufu usio na kifani."
"Tatizo kuu maishani mwako ni upatanisho na Mungu. Kifo cha Kristo ni dhabihu ya kubeba dhambi zetu, alizibeba na kufa kifo tulichostahili"
Shetani anaweza kutuumiza kimwili na kihisia—hata kutuua. Anaweza kutujaribu na kuwachochea wengine dhidi yetu. Lakini hawezi kutuangamiza.
"Yeye sio mpumbavu ambaye hutoa asichoweza kuhifadhi ili kupata kile ambacho hawezi kupoteza."
"Kutojali ukweli ni kutojali kuhusu Mungu. Kumpenda Mungu kwashauku ni kupenda ukweli kwa shauku kubwa."
"Akili ni dirisha la moyo. Tukiacha akili zetu zidumu kwenye giza, moyo utahisi giza. Tukifungua akili zetu kwa nuru, moyo utahisi mwanga"
"Kumtarajia Kristo kwa shauku ni ishara tu kwamba tunampenda na kumwamini — tunamwamini kweli kweli."
"Pasipo kukumbuka ukuu, neema, nguvu, na hekima ya Mungu, tunaingia katika hali ya kukata tamaa inayoumiza."
"Yesu anasema unaweza kwenda kwa Baba moja kwa moja kwani “Baba mwenyewe anawapenda ninyi.”
"Ni habari njema sana kwamba Mungu anatengeneza utukufu wake ukuzwe kupitia matumizi ya neema yake."
"Hakuna matumaini kwa watu wa Mungu isipokuwa Mungu awaongoze kutoka katika kuteleza na kurukaruka katika dhambi na kutokuamini."
"Yote tutakayopata kutoka kwa Mungu mwaka huu, kama waumini katika Yesu, ni rehema, iwe raha au maumivu."
"Haya ni mapenzi ya Mungu kwako, hata unaposoma haya maandishi. Hii ndiyo sababu ya kifo cha Kristo: ili umkaribie Mungu."
"Mungu ni "Mungu wa neema yote," akijumuisha hazina isiyo na kikomo ya neema ya wakati ujao tunayoihitaji kuvumilia hadi mwisho."
"Tendo gani lingekuwa la upande mmoja zaidi, na lisilohitaji maelewano kuliko mtu mmoja kumfufua mwingine kutoka kwa wafu! Hii ndio neema!"
"Kiburi hakiwezi kustahimili ushirika wa karibu wa Mungu katika kuendesha ulimwengu na maisha ya kila siku."
"Furahini katika hili: majina yenu yameandikwa mbinguni. Urithi wenu ni wa hakika na wa milele."
“Naye Mungu wangu atawajaza ninyi na kila mnachohitaji kwa kadiri ya utajiri wake katika utukufu ndani ya Kristo Yesu."
"Lakini Baba yetu wa mbinguni anajua kila kitu kuhusu sisi, na mahitaji yetu yote."
"Neema ya Mungu inashinda ukaidi wetu kwa kuumba sifa mahali ambapo haikuwepo."