top of page

“Kitabu hiki kinatoa maelezo maaminifu ya kibiblia kuhusu injili na kuwawezesha Wakristo kutambua upotoshaji wa ujumbe huo wa utukufu. Laiti ningaliweza kukiweka kitabu hiki mikononi mwa kila mchungaji na mshirika wa kanisa, ningefanya hivo!”
 

C. J. Mahaney, Sovereign Grace Ministries
 

“Kitabu hiki kidogo kuhusu injili ni miongoni mwa vitabu vilivyo wazi na muhimu zaidi kati ya vyote nilivyosoma katika miaka ya hivi karibuni.”

Mark Dever, Mchungaji Kiongozi, Kanisa la kipabtisti la Capitol Hill, Washington DC
 

“Kitabu hiki kitakusaidia kuelewa, kuthamini, na kushiriki injili ya Yesu Kristo kwa undani zaidi.”
 

Joshua Harris, Mchungaji Kiongozi, Kanisa la Covenant Life, Gaithersburg, Maryland
 

“Greg Gilbert anaonyesha jinsi ilivyo muhimu kuelewa asili ya kitheolojia na umuhimu wa kiutendaji wa injili.”
 

Tullian Tchividjian, Mchungaji Kiongozi, Kanisa la kipresbiteri la Coral Ridge, Fort Lauderdale, Florida
 

GREG GILBERT alipata shahada yake ya BA kutoka Chuo Kikuu cha Yale na MDiv kutoka Chuo Kikuu cha Theolojia cha Southern Baptist. Yeye ni mchungaji msaidizi wa Kanisa la Capitol Hill Baptist huko Washington DC.

Injili Ni Nini?

TZS 20,000.00Price
  • Greg Gilbert

  • We do not provide refunds or accept returns for purchased books. However, we are committed to addressing any issues related to manufacturing defects in the books you receive.

bottom of page