Injili Ni Nini?
Swali hili rahisi lina athari kubwa kwa Wakristo na wasio Wakristo vilevile. Mwongozo huu wa kusoma, pamoja na kitabu kilichouzwa sana cha Greg Gilbert, Injili ni Nini?, utakusaidia kujibu swali hili muhimu na kulitumia injili maishani mwako.
GREG GILBERT (MDiv, Chuo Kikuu cha Theolojia cha Southern Baptist) ni mchungaji mkuu wa Third Avenue Baptist Church huko Louisville, Kentucky. Yeye ni mwandishi wa vitabu Injili Ni Nini?; Kwanini Uiamini Biblia?; na Yesu Ni Nani?; na ni mwandishi mwenza, pamoja na Kevin DeYoung, wa Misheni ya Kanisa ni Ipi?
ALEX DUKE (MDiv, Chuo Kikuu cha Theolojia cha Southern Baptist) ni msimamizi wa uhariri wa 9Marks, mhariri msaidizi wa Gospel Coalition, na mkurugenzi wa huduma ya vijana katika Kanisa la Baptisti la North Shore huko Queens, New York.
Injili Ni Nini? Mwongozo Wa Kusoma
Greg Gilbert na Alex Duke
We do not provide refunds or accept returns for purchased books. However, we are committed to addressing any issues related to manufacturing defects in the books you receive.